Mbunge amwaga powertiller kila kijiji

Saturday July 16 2016

Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mbeya, Haroon

Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mbeya, Haroon Pirmohamed (kushoto) akimpa ufafanuzi mkuu wa Mkoa  huo Amosi Makalla (wa pili kushoto) kuhusu matrekta madogo 102 zenye thamani ya zaidi ya Sh500milioni, aliyotoa msaada  kwa kila kijiji cha Wilaya ya Mbarali, ili kuimarisha kilimo. Picha na Godfrey Kahango 

By Godfrey Kahango, Mwananchi [email protected]

Advertisement