Msafara wa Mzee Majuto wasimamishwa vijiji 14

Friday August 10 2018

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa mwigizaji

Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa mwigizaji nguli wa vichekesho nchini, Mzee King Majuto baada ya swala ya kumuombea iliyofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam Picha na Ericky Boniphace 

By Rhobi Chacha, Tanga

Advertisement