Wabunge wa CCM waichachamalia Serikali
Friday November 9 2018

Kwa ufupi
Wakati Bunge likiendelea Mjini Dodoma mjadala mzito umeibuka kuhusu sakata mazingira rafiki ya kibishara nchini Tanzania,ambapo wabunge wa CCM wameelekeza lawama zao kwa wataalamu kwa kushindwa kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara.