Ilani ya uchaguzi yatumika kwa mara ya pili

Muktasari:

UCHAGUZI Mkuu wa Oktoba 1980 ulikuwa wa tano kwa upande wa kumchagua Rais na wa nne kwa kuwachagua wabunge. Uchaguzi wa kwanza wa Rais ulifanyika Novemba 1, 1962, ukifuatiwa na wa Septemba 30, 1965, kisha Oktoba 30, 1970 na Oktoba 26, 1975.

Tofauti na chaguzi zilizotangulia, ule wa Oktoba 1980 ulikuwa na wilaya 111 za uchaguzi, kati ya hizo, 10 zilikuwa za Zanzibar. Katika uchaguzi wa Oktoba 1975 wilaya za uchaguzi zilikuwa 96.

Uchaguzi Mkuu wa 1980 wa kumchagua Rais na wabunge ulitangazwa rasmi Julai 11, 1980 kwamba utafanyika Oktoba 26.

Tangazo hilo lilitolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Elias Kazimoto alipokutana na waandishi wa habari mjini Dar es Salaam.

Kuendelea kusoma habari hii: SOMA HAPA