Saa 4 kabla ya mechi, Kwa Mkapa jua kaliii Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa huku jua kali likiwa linawaka.