Simba, Yanga usiku freshi tu Muda wa mechi haupaswi kuwa sababu ya kujitetea kwa Simba na Yanga wakati zitakapokabiliana na Al Ahly na Mamelodi Sundowns katika mechi za nyumbani za hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...