#LIVE: RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKILIHUTUBIA TAIFA

Wednesday December 08 2021

Kuelekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa leo Jumatano Desemba 8, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Advertisement