Jicho letu Mahakamani: Polisi wavamia waombolezaji, Mwananchi lazidi kuibua utata

Tuesday February 23 2021
Jicho pic
By James Magai

Katika sehemu ya tisa ya simulizi ya kesi ya mauaji ya ya wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge mkoani Morogoro na dereva teksi wa Manzese Dar es Salaam, tuliona jinsi gazeti la Mwananchi lilivyotafuta ukweli wa mauaji hayo na hatimaye kuibua utata mkubwa wa taarifa za Jeshi la Polisi kuhusu wapi walikamatwa na kuuawa.

Yapata muda wa saa 10 jioni, Januari 18, 2006, ndani ya msikiti katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, ndugu, jamaa na marafiki walikuwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya mazishi ya marehemu Juma Ndugu, aliyekuwa dereva teksi wa kina Jongo.

Wakati ibada ikiendelea, gari la polisi lilifika likiwa na askari wenye silaha waliofunika nyuso zao kwa vitambaa kwa staili ya kininja.

Habari kamili bonyeza hapa:  https://egazeti.co.tz/show_related/8467

Advertisement