JICHO LETU MAHAKAMANI: Shahidi kesi ya Zombe: Nilishuhudia miili ikiwa na majeraha kichwani - 23

Tuliona katika sehemu ya 22 jinsi usikilizwaji wa awali wa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva teksi iliyomkabili aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam, Abdallah Zombe na askari polisi wengine 12 ulivyoanza.

Katika hatua hiyo washtakiwa walijibu kwa mara ya kwanza na wote kukana shtaka la mauaji ya watu wanne katika Mahakama Kuu. Endelea…

 Kuendelea kusoma habari hii bonyeza hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8729