KESI YA UHAINI 1985: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam atoa ushahidi -11

Muktasari:

Katika mfululizo wa simulizi ya kesi ya uhaini ya mwaka 1985, jana tuliona aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pancras Ndejembi akihojiwa na mawakili wa washtakiwa, leo tunaendelea kuangalia shahidi mwingine.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, John Mhaville na Luteni Kanali Jackson Mbwile wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Alhamisi ya Januari 24, 1985, aliiambia Mahakama Kuu iliyosikiliza kesi ya uhaini mjini Dar es Salaam jinsi walivyofahamishwa mpango wa kutaka kuiangusha Serikali.

Habari kamili soma hapa: https://egazeti.co.tz/show_related/8607