Prime
Mwili waopolewa Ziwa Victoria, polisi wahusishwa

Muonekano wa Ziwa Victoria. Picha na Saada Amir
Muktasari:
- Familia yagoma kuzika, polisi yasema iinaendelea na uchunguzi watakaobainika kuchukuliwa hatua.
Muleba. Familia ya Baraka Lucas aliyekutwa amekufa, mwili ukielea juu ya maji katika Ziwa Victoria, imegoma kuuzika ikitaka Jeshi la Polisi kueleza chanzo cha kifo chake.