NBC yahitimisha maonyesho ya Nanene ikiibuka kinara taasisi ya fedha
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto) akisalimiana na mmoja wa wajasiriamali walioshiriki Maonesho ya Kilimo Nanenane yaliyokuwa yakifanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya kwa ufadhili wa benki hiyo.