Pakistan yautangaza mtandao wenye watazamaji wengi nchini humo

Muktasari:

  • Wizara ya Habari na Utangazaji nchini Pakistan imesema mtandao wa Doordarshan (DD) na radio ya All India Radio (AIR) kuwa na watumiaji wengi zaidi nchini humo.


Wizara ya Habari na Utangazaji nchini Pakistan imesema mtandao wa Doordarshan (DD) na radio ya All India Radio (AIR) kuwa na watumiaji wengi zaidi nchini humo.

Taarifa ya Wizara ya Habari na Utangazaji ya Pakistan iliyotolewa hivi karibu imesema mwaka 2020, Pakistan ilikuwa ya pili kwa kuwa na watumiaji wengi wa mitandao ya kidigitali hasa wa DD na AIR mbali ya watumiaji wa ndani wa upande wa India iliyo karibu na Marekani.

Imefafanua kuwa mwaka 2020, chaneli ya kidigitali ya Prasar na Bharati kupitia DD na Akashvani wamesajili zaidi ya asilimia ya ukuaji wakichukua zaidi ya watazamaji bilioni moja na zaidi ya watazamaji bilioni sita katika mitandao ya kidigitali.

Inaeleza kuwa hifadhi ya maudhui adimu yanayopatikana katika DD-AIR yamewekwa kidigitali na kupandishwa katika chaneli ya Youtube ya Prasar Bharati.