Rungu la usaliti CCM latua kwa viongozi 76

Rungu la usaliti CCM latua kwa viongozi 76

Muktasari:

  • Wanachama na baadhi ya viongozi na wajumbe wa kamati za siasa za kata wilaya ya Mwanga takribani 76, wanadaiwa kuvuliwa nyadhifa zao na wengine kusimamishwa uanachama kwa madai ya usaliti wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020.

Mwanga. Wanachama na baadhi ya viongozi na wajumbe wa kamati za siasa za kata wilaya ya Mwanga takribani 76, wanadaiwa kuvuliwa nyadhifa zao na wengine kusimamishwa uanachama kwa madai ya usaliti wakati wa Uchaguzi Mkuu 2020.

Baadhi wamepinga adhabu hizo wakidai wameadhibiwa bila kupewa fursa ya kusikilizwa na kwamba wamejengewa fitina na makundi yanayojipanga kwa ajili ya uchaguzi ndani ya chama 2022 na Uchaguzi Mkuu 2025.

Hata hivyo, Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Jonathan Mabhia alipoulizwa jana kuhusu malalamiko hayo alisema hata kama CCM ilishinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2020, haitaacha kuwashughulikia waliokisaliti chama hicho.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.