Upandikizaji mimba nchini waibua siri nzito

Upandikizaji mimba nchini waibua siri nzito

Muktasari:

  • Miaka miwili tangu kuanza kwa maandalizi ya upandikizaji mimba kwa njia ya IVF katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imebainika kuwa nusu ya wanawake waliojitokeza kwa huduma hiyo wamekutwa hawana tatizo hiloyake walishauriwa waende na waume zao.

Dar es Salaam. Miaka miwili tangu kuanza kwa maandalizi ya upandikizaji mimba kwa njia ya IVF katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imebainika kuwa nusu ya wanawake waliojitokeza kwa huduma hiyo wamekutwa hawana tatizo hiloyake walishauriwa waende na waume zao.

Katika uchunguzi huo umebaini matatizo matano ya wanaume ambayo yamechangia wanandoa au watu wenye mahusiano kutopata watoto.

Upandikizaji mimba nchini waibua siri nzito

Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na kutokuwa na mbegu, au kuwa nazo zenye ubora hafifu, mbegu chache na zinazorudi kinyumenyume au kutokuwa na mbegu za kutosha kutokana na kufanya tendo la ndoa mara kwa mara.

Habari kamili jipatie nakala yako ya Mwananchi leo.