TUONGEE KIUME: Usichotakiwa kufanya ukiwa mwanamume usiye na ajira
Katika kitabu chake cha Jobs Ends, milionea kijana Taylor Pearson ameandika, “kwa enzi hizi za matumizi makubwa ya mashine na intaneti, ajira yako ni kitu kinachoweza kupotea kufumba na kufumbua,...