🔴#LIVE: Matokeo uchaguzi CCM

🔴#LIVE: Matokeo uchaguzi CCM

Muktasari:

Uchaguzi huo umefanyika leo Jumatano Desemba 7, 2022 kwenye mkutano mkuu wake wa 10, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Matokeo ya uchaguzi wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM)yakitangazwa.