Utamaduni wa Afrika Mashariki kuoneshwa Serengeti Utamaduni wa Afrika Mashariki utaonyeshwa siku ya Serengeti Oktoba Fest itakayofanyika Oktoba 21,2023.