JCole kujitosa katika kikapu

Sunday April 04 2021
Jcole pc

Tovuti ya TMZ imeeleza kuwa timu ya mpira wa kikapu ya Detroit Pistons imempa ofa rapa JCole kufanya majaribio na timu hiyo.

TMZ imesema kuwa meneja wa JCole, Ibrahim Hamad alionekana katika mazoezi ya Pistons.

Uongozi wa timu hiyo umethibitisha taarifa za rapa huyo kukubali kufanya majaribio katika timu hiyo ya kikapu.

Advertisement