Mshambuliaji mpya wa Simba, Jean Baleke akishangilia bao lake katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.
Baleke alifunga bao hilo la ushindi kwa Simba ikiwa ndio ufunguo wake toka atueni Msimbazi akisajiliwa kutoka TP Mazembe.