Mwenyekiti wa Kamati ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka akizungumza wakati wa kuwasilisha
taarifa ya kamati ya haki na Maadili na Madaraka ya Bunge kuhusu tuhuma zinazomkabili mbunge wa Kawe Josephat Gwajima .Picha na Said Khamis