Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsikiliza, Waziri wa Nishati, January Makamba pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Maharage Chande kuhusiana na kituo cha kusafirishia umeme (Switchyard) katika Mradi wa Bwawa la kuzalisha umeme (Megawati 2,115) la Julius Nyerere (JNHPP) katika Mto Rufiji Mkoa wa Pwani leo Alhamisi.