Diamond agawa chakula, fedha akisherehekea sikukuu ya Idd Dar
Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz akigawa fedha na chakula kwa mkazi wa Tandale jijini Dar es Salaam leo, katika kusherehekea sikukuu ya Eid Al Fitr. Picha na Ericky Boniphace
Photo: 1/3

Photo: 2/3
Baadhi ya wakazi wa Tandale wakiwa kwenye foleni wakisubiri kupokea msaada wa fedha na chakula kutoka kwa nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnum, jijini Dar es Salaam leo. Picha na Ericky Boniphace