Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji (katikati) akiangalia mabati yanavyozalishwa katika mmoja ya kiwanda cha makampuni ya M.M Intergrated Steel Mills alipofanya ziara ya kutembelea viwanda vitano vinavyomilikiwa na makampuni hayo, jijini Dar es Salaam leo, Januari 6, 2024. Kushoto ni Mkurugenzi wa makampuni hayo, Veer Patel. Picha na Michael Matemanga