Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson akizungumza katika mkutano wa 27 wa maspika na wenyeviti wa mabunge wanachama wa Jumuiya ya Madola wakati wa uwasilishaji mada kuhusu usalama wa wabunge unaofanyika katika Ukumbi wa Speke Resort Munyonyo nchini Uganda leo , Januari 6, 2024. Picha na Ofisi ya Bunge