Staa wa Yanga, Maxi Nzengeli amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Agosti 2023 Ligi Kuu Bara akiwazidi Stephane Aziz KI anayecheza naye Yanga na Jean Baleke wa Simba walioingia katika kinyang'anyiro.
Nzengeli katika mwezi huo alifunga mabao mawili na kusaidia kupatikana bao moja.