Habari katika picha katika kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, ambayo imeendelea leo Mei 19, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Lissu, ambaye anakabiliwa na kesi mbili ya uhaini na ya uchochezi, amerudishwa Gereza la Ukonga baada ya kesi zake kuahirishwa hadi Juni 2,2025.