ePaper

Tafuta

Picha Picha

Search
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Biashara
    • Makala
  • Michezo
    • Burudani
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
    • Zabuni

  • ePaper

    • Mwananchi

Picha

IGP Wambura afanya mabadiliko ya makamanda wa polisi

Ijumaa, Januari 06, 2023

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amefanya mabadiliko ya makamanda wa polisi wa mikoa ili kuboresha na kuongeza ufanisi wa utendaji katika mikoa mitatu ya Tanzania Bara.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Januari 6, 2023 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, IGP Wambura amemhamisha aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim kwenda kitengo cha mipango, Makao Makuu ya Polisi Dodoma.

Taarifa hiyo ya Jeshi la Polisi inaeleza kuwa nafasi ya Kamanda Muslim imechukuliwa na Alex Mukama ambae alikuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe.

Vilevile, IGP Wambura amemhamisha kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista Mallya kwenda kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Songwe.

Shadrack Masija ambae alikuwa Ofisa Mnadhimu namba moja mkoa wa Simiyu, naye amehamishwa kwenda kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Rukwa.

Photo: 1/3   

Kamanda, Fortunatus Muslim.

Photo: 2/3   

Kamanda Theopista Mallya.

Photo: 3/3   

Thank you for reading Nation.Africa

Show plans

Habari kuu

  • Habari
  • Michezo
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
  • Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini

    Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...

    Kitaifa Okt 05
  • Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.

    Kitaifa Okt 04
  • Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya

    Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya

    Kitaifa Okt 04

All
  • Habari
    • Kitaifa
    • Kimataifa
    • Biashara
    • Makala
  • Michezo
    • Burudani
  • Kolamu
  • Picha
  • Video
  • Toleo Maalum
  • Ajira
  • Notisi
    • Zabuni
  • ePaper
  • Contact us
  • Web Mail
  • Frequently asked questions
  • NMG Privacy Policy
  • Terms of use
  • Terms and Conditions of Use
  • Our Blog Rules

Mwananchi © 2023

Decoration