Rais mstaafu, Jakaya Kikwete akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wa kijijini kwake Msoga Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani, leo Novemba 27, 2024 ikiwa ni uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji unaofanyika nchini. Picha na Issa Michuzi