Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya Dua Maalumu ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika siku ya Kumbukumbu ya yake (Karume Day) leo 07 April 2021.