Picha Kushushwa kwa meli ya Mv Mwanza 'Hapa Kazi Tu' ndani ya maji Jumapili, Februari 12, 2023 Mv Mwanza ikiwa tayari majini ikiwa ni hatua ya kuangalia iwapo kuna itilafu kwenye umbo lake ikiwemo ya kupitisha maji ikiwa majini. Picha na Saada Amir Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption
Mgawo wa maji watikisa mijini, vijijini Licha ya wingi wa rasilimali maji zilizopo nchini, upatikanaji wa maji safi na salama, bado ni changamoto kwa wananchi ambao baadhi hupata maji kwa mgawo, huku wengine hasa vijijini wakitegemea...
Bei ya mafuta yazidi kushuka Bei ya mafuta imeendelea kushuka, baada ya Ewura kutangaza bei mpya kuanzia kesho, ambapo lita moja ya petroli itauzwa Sh2, 886, dizeli Sh3083 na mafuta ya taa Sh3, 275 kwa lita.
Rais Samia aomba mjadala changamoto bunifu sekta ya afya Rais Samia Suluhu Hassan ameziomba Jumuiya ya Kimataifa kujadili changamoto tatu zinazorudisha nyuma juhudi za kufanya bunifu kwenye sekta ya afya