Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad wakati ukiwasili katika msikiti wa Maamur kwa ajili ya swala ya kuuaga jijini Dar es Salaam leo, kabla ya kusafirishwa kuelekea Pemba, Zanzibar kwa ajili ya maziko.