Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima (kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula walipohudhuria kikao cha 56 cha mkutano Bunge la Bajeti, kabla ya wabunge kuanza kupiga kura ya kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 jijini Dodoma leo. Picha na Edwin Mjwahuzi