Mashindano ya Dunia ya Quran tukufu kwa wanawake yatikisa jijini Dar es Salaam
Mashindano ya kuhifadi Quran tukufu kwa wanawake duniani yalivyofanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam Agosti 31, 2024 ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan. Picha Ikulu