Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (wa pili kushoto) akiwa chini ya ulinzi wa askari Magereza huku akisalimiwa na wafuasi wa chama hicho alipokuwa akiondolewa Mahakama Kuu ya Divisheni ya Makosa Rushwa na Uhujumi Uchumi, jijini Dar es Salaam. Picha na Sunday George