Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wakati akiwasili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki sherehe za kilele cha miaka mawili ya uongozi wake iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (UWT) leo Jumapili.