Picha mbalimbali zinazoonyesha muonekano wa Daraja la Ruaha Mkuu lililojengwa sambamba na Barabara ya Kidatu – Ifakara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 66.8, huku daraja hilo likiwa na urefu mita 133.
Ujenzi huo umegharimu Sh157.15 bilioni ambao ulianza Oktoba 2, 2017 na umekamilika Juni 30, 2024. Na Mpigapicha Maalumu