Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Victor Mushi (wa nne kulia) na Kaimu Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Mpoki Thomson wa nne (kushoto) wakiwa na baadhi ya washindi wa MCL walioshinda tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (Ejat) 2023 ziliyofanyika jijini Dar es Salaam leo Jumamosi Septemba 28, 2024. Picha na Sunday George