Picha Mwenyekiti ADC agawa kadi Mwanza Jumatano, Septemba 18, 2024 Mwenyekiti wa ADC Taifa, Shaban Itutu akigawa kadi za uanachama kwa wakazi wa Kiseke wilayani Ilemela mkoani Mwanza Septemba 17, 2024 alipofanya mkutano wa hadhara. Picha na Mgongo Kaitira Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Maswali kibao tukio la 'utekaji' wa Tarimo Wakati Jeshi la Polisi likiendelea na uchunguzi wa tukio la kutaka ‘kutekwa’ kwa mfanyabiashara, Deogratius Tarimo, mijadala imeibuka juu ya hali ilivyokuwa na kuibua maswali kibao.
Polisi yachunguza tukio la mfanyabiashara aliyenusurika ‘kutekwa’ Kiluvya Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa video iliyosambaa katika mitandao ya kijamii inayowaonyesha watu wawili wakijaribu kumkamata na kumwingiza kwa nguvu ndani ya gari...
Lissu awaonya wagombea Chadema na rushwa katika uchaguzi Lissu amesema hayo leo Jumatano Novemba 13, 2024 alipokuwa akihutubia mkutano wa uchaguzi wa chama hicho mkoani Singida.