Picha mbalimbali zikionyesha Paredi la Yanga lililoteka sehemu ya jijini la Dar es Salaam, jana. Yanga ilikuwa ikisherehekea ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu Bara, ambapo Paredi hilo lilianzia kwenye Uwanja wa Mkapa na kumalizika makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Jangwani.