Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari Ijumaa Januari 10, 2025 kuhusu tukio la wanaume wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi wenye silaha kuuawa kwa kupigwa risasi na askari wa Jeshi la Polisi mkoani humo.