Jeshi la Polisi mkoani Simiyu limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya baadhi ya wananchi katika mji mdogo wa Lamadi Wilaya ya Busega, baada ya kufunga barabara kuu ya Mwanza-Simiyu na Mara kwa kile walichodai matukio ya watoto kupotea yameongezeka. Picha na Samwel Mwanga