Picha Raia 55 wa Tanzania waliondoka bila kibali nchini Alhamisi, Januari 09, 2025 Raia 55 wa Tanzania wanadaiwa kuondoka nchini na kwenda Afrika Kusini bila kufuata taratibu za kisheria wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Picha na Hadija Jumanne Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
Wasira ateuliwa kumrithi Kinana CCM Kwa sasa jina la Wasira litapigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
Sharifa Mwenyekiti mpya Bawacha, ambwaga mshindani wake Celestine Aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Sharifa Suleiman ameshinda nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo atakaloliongoza kwa miaka mitano ijayo.
PRIME Mbowe asimulia Lissu, Lema na Heche walivyomuumiza Chadema Mbowe ni miongoni mwa wagombea watatu wanaowania uenyekiti wa Chadema akiwamo makamu wake bara, Tundu Lissu na Charles Odero.