Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), DK Hussein Mwinyi jana Agosti 10, 2024 alizindua tamasha la tunazima zote tunawasha kijani lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Katika tamasha hilo vijana kadhaa wa Chama cha ACT-Wazalendo walirejesha kadi na kujiunga CCM. Picha zote na Ikulu Zanzibar