Picha Rais Samia afunga kikao maalum cha UWT Jumamosi, Septemba 28, 2024 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga kikao maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea Mkoa wa Ruvuma, leo Jumamosi, Septemba 28, 202 Photo: 1/3 View caption Photo: 2/3 View caption Photo: 3/3 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Padri mwingine auawa kwa kumininiwa risasi akielekea ibadani Tukio la kuuawa kwa Padri Bett, limekuja siku chache tangu kuuawa kwa Padri Maina ambaye kifo chake kulihusishwa na masuala ya kisiasa.
Mwanaharakati Atuhaire akutwa mpakani mwa Uganda, Tanzania Viongozi hao walizuiwa kuingia nchini wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kurudishwa nchini kwao.
Naibu Waziri akwama kwenye tope ubovu wa barabara, ashindwa kuhudhuria mkutano Mwananchi limeshuhudia magari yakipata shida kupita katika baadhi ya maeneo na yalishindwa kuendelea na safari kutokana na barabara kujaa matope huku mengine yakinasa, likiwemo gari la Jeshi la...