Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na wake wa hayati Edward Sokoine, kabla ya kuzindua kitabu kinachohusu maisha na uongozi wake katika hafla inayofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), leo Jumatatu Septemba 30, 2024.