Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 3, 2022.Picha na Ikulu
Photo: 1/4
Rais Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Angellah Kairuki kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 3, 2022.
Photo: 2/4
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 3, 2022. Picha na Ikulu
Photo: 3/4
Rais Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk Stergomena Lawrence Tax kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 3, 2022. Picha na Ikulu