Rais Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji baada ya ufunguzi rasmi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi ya Lumumba, Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Januari 10, 2024 ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Picha na Ikulu