Rais Samia alivyowatunuku maofisa wanafunzi kamisheni
Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan leo Novemba 28, 2024 ametunuku kamisheni kwa maofisa wanafunzi 236 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA), kilichopo Monduli mkoani Arusha. Picha na Ikulu