Picha Rais Samia aongoza kikao Baraza la Mawaziri Jumatano, Julai 24, 2024 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumatano, Julai 24, 2024, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Photo: 1/4 View caption Photo: 2/4 View caption Photo: 3/4 View caption Photo: 4/4 View caption Login to join the discussion Please enable JavaScript to view the comments powered by Disqus.
PRIME Fursa mpya, vilio mgawanyo wa majimbo Uamuzi huo wa INEC, kwa mujibu wa wadau wa siasa, una pande tamu na chungu kwa wabunge wa sasa wenye nia ya kuendelea kugombea nafasi hizo.
Haya hapa majimbo mapya ya uchaguzi, yamo Chamazi na Chato Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji wa Rufaa, Jacobs Mwambegele amesema walipokea jumla ya maombi 34 ya kugawanywa kwa majimbo na 10 ya kubadili majina ya majimbo.
Serikali yavunja mkataba na mkandarasi Barabara ya Tanga - Bagamoyo Waziri Ulega pia ameagiza tathmini ya fidia ya ucheleweshaji wa mradi huo ifanyike ili Serikali ilipwe.